Idara ya Uhandisi wa Kemikali na Migodi ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (CME), Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET), pamoja na Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wanawakaribisha Watanzania
wote
kwenye
"KONGAMANO NA
MAONESHO YA TATU YA MAFUTA NA GESI ASILIA TANZANIA"
MAHALI: Mlimani City Conference Centre - Dar
es Salaam
TAREHE: 21-22 Oktoba 2014
MUDA:
Kuanzia Saa 2:00 Asubuhi-
Mwaka huu 2014 ni kwa
ajili ya watanzania tu, litafanyika kwa lugha ya kiswahili
MADA
KUU:"Maendeleo ya Sekta ya Mafuta na Gesi asilia nchini kwa manufaa ya
Mtanzania"
(i)Utafutaji, Uchimbaji, Uendelezaji na
Utumiaji wa Mafuta na Gesi
asilia
(ii) Mnyororo wa Kuongeza Thamani Kuanzia
kwenye Utafutaji,
Uzalishaji, Usafirishaji na Utumiaji wa mafuta na Gesi
Asilia na
Uhusiano wake na Sekta nyingine za uchumi.
(iii) Sheria, Sera, Kanuni na Miongozo ya
Utafutaji, Uchimbaji,
uendelezaji na utumiaji wa Mafuta na Gesi
Asilia.
(iv) Ushiriki wa Sekta Binafsi na
Watanzania kwa ujumla wao katika
Utafutaji,
Uendelezaji na Utumiaji wa Mafuta na gesi Asilia
(v) “Local Content” – Sera, Mwelekeo na
Faida kwa Mtanzania Kulingana na Malengo ya Maendeleo ya Taifa
Kiingilio
kwenye kongamano: Tsh. 100,000/=
Wanafunzi: Tsh. 50,000/=
Karibu uelimishwe pia
ujipatie FURSA mbali mbali katika kongamano hili.
Kwa maelezo zaidi na
usajili:
Tembelea tovuti yetu www.togace.or.tz
Piga simu 0718525174 /
0754365791
Au tuandikie togace@udsm.ac.tz au togace.org@gmail.com
Post a Comment