Idhaa ya Kiswahili ya SBS Redio ili zungumza na Bw Immanuel Njenga Njoroge alipo tembelea studio za SBS Redio mjini Sydney Australia. Bw Njoroge ali shinda tuzo la mwanafunzi bora wakimataifa wanao somea mkoani NSW. Ali tueleza alivyo shinda tuzo hizo pamoja na matatizo yanayo wakumba wanafunzi waki mataifa kama yeye.
Bw Immanuel Njenga Njoroge akiwa na tuzo lake ndani ya ukumbi wa Sydney Opera House- Australia.
Bw Immanuel Njenga Njoroge akiwa na tuzo yake ndani ya ukumbi wa Sydney Opera House- Australia. (Photo: Benjamin Townsend)

Bonyeza hapa kumsikiliza Bwana Emmanuel Njenga Nyoroge
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.