Katika wiki ambayo maswala ya Afya ya Akili humulikiwa mwangaza nchini Australia, Idhaa ya Kiswahili ya SBS Redio ili zungumza na Bw Patice Nyembo kuhusu uzoefu wake na jinsi alivyo faulu kukabiliana na hali hiyo.

Bw Nyembo alitoa mawaidha kwa mashirika yanayo saidia watu wanao kabiliana na ugonjwa wa akili pamoja na watu binafsi kuhusu hatua ambazo wanaweza chukua ili waweze kufaulu kukabiliana na hali hiyo pia. Msikilizaji wetu una ombwa kama una kabiliwa au unamjua mtu ambaye ana kabiliwa na changamoto ya ugonjwa wa akili.

 Sikiliza mazungumzo hayo hapa
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.