Denis Gabone atoa maoni yake juu ya katiba ya Tanzania-Sehemu ya kwanza
Mjadala wa rasimu ya katiba unaendelea kuzungumziwa vilivyo katika bunge maalumu la katiba huko Dodoma, Tanzania.Mchakato huo umejaa mengi ila shauku kubwa kwa wengi ni kutaka kujua muundo wa serikali utabadilika na pia suala la uraia wa nchi mbili utakubalika.Idhaa ya kiswahili ya SBS ilipata fursa kuongea na mwenyekiti wa zamani wa jumuiya ya Watanzania NSW bwana Denis Gabone kuhusu maoni yake juu ya katiba hiyo.
Post a Comment