Timu ya Manchester city jana ilitangazwa mabingwa wapya  wa ligi kuu ya Uingereza kwa mara ya pili katika mda wamiaka mitatu mara baada ya kuifunga timu ya West ham na hivyo kujikusanyia jumla ya point 86 na kuiacha nyuma timu iliyokuwa inaikaribia ya Liverpool kwa pointi mbili shidi ya 84.

Mabingwa hao walionekana kujidhatiti na hiyo ilionyeshwa wazi kupitia kwa wachezaji wake Joe Hart, Vincent Kompany, Yaya Toure and Sergio Aguero. Japokuwa Kocha Manuel Pellegrini aliweza kuwatumia wachezaji wanne tuu kati ya wachezaji hao mara saba katika mbio za michuano hiyo bali iliweza kushinda kombe hilo kwa kufunga magoli 23 katika harakati hizo.

Itakumbukwa ya kwamba Manchester City iliweza kuwafunga mahasimu wake wakuu Manchester United kwa mabao  4-1 na magoli 5-1 dhidi ya Tottenham katiak uwanja wa White Hart Lane.














































































Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.