April 6, 202508:58:45 PM


Mwezeshaji,Dams Debwa,akitoa mada yake kwenye kongamano la usafi wa afya na mazingira lililoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae hotel mjini hapa.

Baadhi ya wawakilishi wa sekretarieti za mikoa,serikali za mitaa na mashirika yasiyo ya kiserikali ya SEMA na DMDD kutoka mikoa ya Manyara na Singida


Mwakilishi wa shirika la WaterAid Tanzania,Dk.Ibrahimu Kabole,akitoa taarifa yake kuhusu na kongamano la usafi wa afya na mazingira kwa waandishi wa habari.Kongamano hilo linaendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae hotel mjini hapa.

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA,mjini hapa,Ivo Manyanku,akitoa ufafanuzi juu ya namna watakavyotekeleza mradi wa usafi wa afya na mazingira

katika shule za msingi 36 za mikoa ya Singida na Manyara.Picha zote na Nathaniel Limu.

Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.