Alexander Imich mwenye umri wa miaka 111 ndio mwanaume anayeendelea kuishi akiwa ameishi miaka mingi kuliko wote waliopata kuishi.
Alexander Imich, ambaye alifikisha umri wa miaka 111 mnamo n Feb. 4 , 2014 akipongezwa kwa cake
katika siku yake ya kuzaliwa kwenye makazi yake mjini Upper West Side apartment in New York, April
30, 2014. Imich, alizaliwa mjini Poland mnamo mwaka 1903 (Picha na Damon
Winter/The New York Times via Redux) |
Imich ambaye ni mhamiaji toka Poland na wa muhanga wa Soviet Gulag (Mfumo wa tawala la kitumwa wa kufanya kazi kwa lazima) anaishi Manhattan, amekuwa mwanaume aliyeishi miaka mingi mwezi uliopita akivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Arturo Licata ambaye alifariki siku chache kabla hajatimiza miaka 112.
Si kama ilivyo zawadi ya Nobeli, Imich alilielezea gazeti la New York Times mara baada ya kutangazwa mwanaume mzee kuliko wote duniani na kikundi cha tafiti cha Gerontology Research Group ya kuwa. " Sikuwahi kutegemea ya kuwa ningekuwa mzee kiasi hiki,".
Kutokana tafiti za Gerontology
group, kuna wanawake wapatao 66 waliowahi kuishi maisha marefu zaidi ya Imich ikiwa ni pamoja na mwanamke toka Japani. Misao Okawa ambaye alishi miaka 116.
Imich aliyezaliwa mwezi Februari tarehe 4 mnamo mwaka 1904 nchini Poland na
kukulia Czestochowa ilipo kaskazini mwa Poland.
Yeye na mke wake wa pili, Wela aliyekuwa mpiga rangi na psychotherapist
walihamia Waterbury, Conn mnamo mwaka 1951. Ilipofika mwaka 1986 Imich alihamia
jijini New York mara baada ya mkeo Wela kufariki dunia.
Yafuatayo ni mambo makuu usiyoyajua ya mzee huyu kama alivyowaelezea gazeti
la Times
-Hajawahi kupata mtoto
-Hajawahi kunywa pombe.
-Kuacha uvutaji wa sigara.
-Kucheza michezo mbalimbalimbali, kama
Gymnastic, mkimbiaji na
Muogeleaji
-Vyakula anavyopendelea kula ni pamoja na Matzo balls, gefilte fish, chicken
noodle soup, Ritz crackers, scrambled eggs, chocolate na ice cream.
-Kuwa na Genes nzuri
Post a Comment