Matukioa mbalimbali ya michezo ilitochezwa jana katika Ligi kuu ya Uingereza katika mzunguko wa nne wa ligi hiyo.
![]() |
Dimitar Berbatov akishangilia moja ya magoli yake ya jana |
![]() |
Luis Suarez na Sterling wakishangilia
kuzawishwa kwa goli lililofungwa na Suarez
|

Javi Garcia akishangilia goli lake la kwanza toka atue kwenye klabu ya MAnchester City
![]() | ||||
Nick Powell akimwomba Fergie azidi kumpanga mechi nyingi aendelee kufunga |
![]() | |
Kocha Arsene Wenger akishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yake jana katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Southampton |

Peter Odemwingie akijutia kadi yake nyekundu kwa kujifunika usoni
![]() |
Mchezaji mpya wa Aston Villa , Matt Lowton akishangilia mara baada ya kufungua ukurasa wa mabao yaliyofungwa na Aston Villa jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Swansea |

Peter Crouch akifunga goli lake lililolamikiwa na wengi
![]() | |
Matt Lowton akifunga goli lake jana |
![]() | ||||||
Christian Benteke akifungua goli lake la kwanza |
Post a Comment