April 6, 202508:15:01 AM

Kocha wa Real Madrid , Jose Mourinho amewaambia Manchester City wasitarajie ya kwamba wataweza kumsajili Cristiano Ronaldo kwa sababu mchezaji huyo hataondoka mmjini Real MAdridi ahata kama kama kasema hana raha .

Morinho kaendelea kusema ni kweli Ronaldo hana raha kama alivyotamka lakini uwanjani anacheza vizuri ana anajituma  kwa hiyo kwake yeye hakuna shida kwake kwa hivyo waistegeemea kabisa kuwa hiyo itakuwa sababu ya wao kumpata.

Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo aliecheza mechi 149 na kufanikiwa kufunga magoli 150

Jose Morinho, Kiocha wa Real Madrid, City wasiwaze hata siku kuwa wataweza kumsajili Ronaldo

Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.