Rapa Nguli wa Marekani Kanye West amejiandaa kumnunulia mpenzi wake Kim Kardashian kadi ya kushehereka miaka 32 ya kuzaliwa kwake mwezi unaokuja inayokadiriwa kufikia kiasi cha Dollar za kimarekani milioni moja ($ 1m). Hii inatokana na kwamba Kanye anataka kuifanya hii siku kuwa ya kipekee kwa Kardashiana mwanamama ambaye amekuwa mpole mara baada ya majaribio yake ya kutaka kuolewa kushindwa mara mbili na amabaye hajajaliwa kupata mtoto hadi kufikia sasa.

Kim Kardashian and Mercy
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.