
Pamoja na Sterling wengine walioitwa kuichezea Uingereza kwenye mchezo huo wa kesho ni Jake Livermore wa Tottenham Hospurs na mchezaji wa kiungo wa Southampton Adam
Lallana pi ni miongoni mwa wachezaji watakaokuwa ni mara yao yao ya kwanza kuitwa kuchezea timu ya wakubwa.
Post a Comment