John Terry abwaga manyanga michezo ya kimataifa.
Wakati chama cha soka cha
Uingereza kikijiandaa na kusikiliza kesi ya ubaguzi wa rangi inayomkabili aliyekuwa
nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza, John Terry dhidi ya Anton Ferdinand,
Nahodha huyo wa zamni wa timu ya Uingereza ameamua kubwaga manyanga katika kuichezea
timu ya taifa ikiwa ni masaa machache tuu kabla ya kamati ya chama hicho
kukutana juu ya kuamua hatima ya mchezaji huo.
Katika maelezo yake wakati
akichukua uamuzi huu, Terry ambaye kwa sasa ndiuye nahodha wa Mabingwa wa klabu
bingwa ya Ulaya, Chelsea amesema ya kwamba haina maana ya FA kuendelea na kesi
hii wakati mahakama ilishachukua uamuzi wake mapema mwezi Julai mwaka huu kwa kesi hiyohiyo hivyo
hana imani tena na hivyo kuna haja ya yeye kutangaza kusitisha kuichezea timu
ya taifa na kuendelea kuitumikia klabu yake ya Chelsea.
Hapa John Terry akikabidhiwa majukumu ya kuingoza timu ya Taifa ya Uingereza toka kwa aliyekuwa nahodha wa wakati huo David Beckham mnamo mwaka 2006 |
Nahodha wa Chelsea, John Terry |
Matukio Mbalimbali ya John Terry:
SEP 2001 One of four Chelsea stars fined for their behaviour at a hotel
on the day after 9/11 attacks.
JUNE 2002 Misses World Cup due to assault and affray charge.
AUG 2004 Appointed Chelsea captain.
MAY 2008 Fluffs kick in Champions League shootout final against
Manchester United.
JAN 2010 JT’s alleged relationship with Wayne Bridge’s ex-girlfriend is
revealed.
FEB 2010 Bridge refuses to shake his hand before match with Man City.
OCT 2011 Terry accused of making a racist slur against Anton Ferdinand.
APR 2012 Terry captains Chelsea to a 1-0 home win over Barcelona in
Champions League semi-final first leg. But then is sent off in second leg.
JULY 2012 Cleared by court of making a racist insult to Ferdinand.
SEP 2012 QPR ace Ferdinand refuses to shake his hand.
Post a Comment