Cristiano Ronaldo jana usiku alimdhibitishia kocha wa Manchester City Roberto Mancin ya kuwa yeye ni dereva mzuri wa Ferrari na sio onda kama alivyodai Mancin kwa kufunga goli la ushindi katika muda wa majeruhi na kupata ushindi wa 3-1.
Hayo ni kama majibu kulingana na maneno aliyokuwa ameyatamka Roberto Mancin kocha wa Man City ya kuwa Real Madrid ni kama gari la Honda na hivyo aliwezi kushindana na Ferrari alililofananisha na timu yake ya kwamba hawawezi kujilinganisha na timu yake kwa kuwawana timu nzuri na kasi waliyonao haiwezi kufafanishwa na Real Madrid.
Gari la aina la Ferrari ni magari yanayotumiwa katika mbio za mwendo kasi na ni moja katika ya magari yanayohesabika yenye mwendo wa kasi kupita yote duniani.
 |
Cristiano Ronaldo akishangilia kwa furaha goli la ushindi jana usiku |
 |
Benedikt Howedes akiifungia Schalke goli la kuongoza dhidi ya Olympiakos, Schalke ilisinda 2-1 |
 |
Joe Hart akiwa na masikitiko makubwa baada ya kushindwa mchezo wa jana |
 |
PSG wakishangilia ushindi wa 4-0 dhidi ya Dyamo Kiev |
|
 |
Gervinho akiifungia Arsenal goli la pili , Arsenal ilishinda 2-0 dhidi ya Montpellier |
|
 |
Jesus Gamez na Ignacio Camacho wakishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Zenit St Petersburg |
 |
Wachezaji wa Borussia Dortmund wakishanglia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ajax Amsterdam kwa goli lililofungwa na Robert Lewandowsk mwishoni mwa mchezo. | |
Post a Comment