Maadhimisho ya 10 ya siku ya haki ya kujua Dunian kwa Tanzania yameaanz rasmi leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Karimjee na kuhudhuria na wadau mbalimbali akiemo Raisi wa vyombo vya habari Tanzani Jaji Mkuu mstaafu wa makakama kuu Tanzania, Mheshimiwa Jaji Robert Kisanga.

Katika mkutano huo ulioratibiwa na Ms Rosmary Mwakitwange wanatajaiwa kuongea katika mkutano huo ni pamoja na Mkufunzi wa kitivo cha sheria cha chuo kikuu cha Dar es Salaam, James Jesse katika mada ya faida kupata habari za kisheria na faida zake katika maisha ya leo, faida za uhuru wa kujiekeza pamoja na haki za watu katika kupata habari ikiongozwa na Mkurugenzi wa kituo cha Under the same sun, na mtangazaji wa zamani wa shirika la habari la Uingereza, BBC. Vicky Mtetema na wengine wengi wanaotarajiwa kutoa mada mbalimbali kuhusiana na haki ya kujua.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.