Baada ya kuanza msimu kwa kusuasua timu ya Arsenal ina mpango wa kumsajili Didier Drogba ili kujaribu kutibu safu yake ya ushambuliaji ambayo mapaka mzunguko wa tatu ilikuwa imefunga mabao mawili tuu kati ya mechi tatu.
Mpaka sas timu hiyo ni kama vile haijampata mfungaji wa kutegemewa mara ya baada ya mpachikaji mahiri wa timu hiyo Rob Van Persie kutimkia kwa wapinzani wao wakuu timu ya Manchester United.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.