Wafanyabiashara ndogondogo jijini Arusha wakiwa wamechoma moto matairi ndani ya eneo lililowekewa uzio wa mabati. Walivamia na kuvunja uzio huo na kuanza kujigawia viwanja ila wafanyie hapo biashara zao. Awali mamlaka katika jiji la Arusha liliwahamisha kutoka mitaani na kuzunguka eneo la soko kuu na kuwapeleka viwanja vya NMC. Wengi wao walidai eneo la NMC halina vyoo, maji na mvua ikinyesha linageka kuwa bwawa, pia si eneo lenye kivuli. Jitihada zinafanyika kutatua mgogoro huu haraka iwezekanavyo. Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, Katibu mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan na wakuu wengine wapo hapa Arusha katika mkutano wa kimataifa.

 
Sehemu ya wafanyabiashara hao wakiwa maetapakaa kwenye eneo walilovunja uzio











Moto ukiendelea kuwaka







Baada ya muda gari la zima moto liliwasili na jitihada za kuzima moto huo zikaanza

















Picha na habari kwa hisani ya blog ya mlaledj



































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.