Capital One Cup.

Manchester City Yatolewa rasmi.

Manchester City 2 Aston Villa 4
 Paul Lambert rows with Roberto Mancini
Roberto Mancini amedai amechoshwa na maneno ya kocha wa Aston Villa Paul Lambert dhidi yake, Mancini aliyaongea hayo mara baada ya Lambert kumlalamikia Mancini kutokana na maneno aliyoyatoa ya kwamba mchezaji wa Aston Villa,  Joe Bennett alipaswa kupewa kadi ya njano mara baada kumchezea vibaya Gareth Barry .

Manchester City ilitotolewa katika mashindano hayo ya kombe la Ligi  yanayojulikana kama Capital one Cup zamani kama Carling Cup kwa kuchapwa mabao 2-4 na Aston Villa katika mchezo uliochezwa usiku wa kumkia leo katika kiwanja chake cha Etihad.


 CHELSEA KUMNYAKUA FALCAO.

Timu ya Cheslea inajiandaa kumnyakua Ramadel FAlcao kwa ada ya uhamisho ya Paundi za Kiingereza milioni 45 . Itakumbukwa Chelsea mwishoni mwa mwezi uliopita ilikubali kichapo toka kwa mabingwa wa kombe la Ulaya, Atletico Madrid na miongoni ya magoli hayo matatu yalifungwa Ramadel Falcao.

Inavyosemakana mazungumzo ya wali yameshaanza kufanyika juu ya mchezaji huo kutua Stamford Bridge katika dirisha dogo la mwezi Januari.

HE'S RAD ... Chelsea are lining up a bid for Falcao
Muuaji wa Chelsea , Ramadel Falcao

Falcao, mwenye umri wa miaka 26, ameshaushtua ulimwengu kwa kufunga mabao  115 katika kipindi cha miaka mitatu tuu katika soka ya ulaya ukichanganya na mabao matatu aliyoifungia Atletico Madrid katika mchezo wa Supa Cup dhidi ya Cheslea mjini Monaco.


 MANCHESTER UNITED YAPATA PIGO TENA, VIDIC NJE MIEZI MIWILI

 Timu ya Manchester United imepata pigo jingine tena kwa Beki wake nguli Nemanja Vidic ameumia tena sehemu ambayo ndio iliyokuwa imemsabababishia kuwepo nje kwa muda mrefu.

 Kutokana na habari ya klabu, habari ilisomeka hivi, ""Nemanja Vidic amefanyiwa operesheni ya  meniscus operation jkwenye mguu wake wa kulia na anategemea kuwa nje kwa kipindi cha wiki nane" mwisho wa taarifa hiyo. Hilo litakuwa ni pigo kubwa sana kwa miamba hiyo ya sokaikichukuliwa pia timu hiyo inakabiliwa pia na kukosekana kwa  Chris Smalling na Phil Jones, na pia Rio ndio kwanza akiwa amerejea kutoka kwenye maumivu.

Hata hivyo timu itashukuru kurejea kwa wachezaji wake wawili Wayne Rooney anayetegemwa kuwa kwenye benchi leo usiku na Darren Fletcher.


 BLOW ... Nemanja Vidic will miss Premier League matches against Chelsea, Arsenal and Spurs


 Chelsea Yaua 6-0 Capital one Cup

Magoli ya Cheslea yalifungwa na Gary Cahill, Ryan Bertrand, Juan Mata, Oriol Romeu, Fernando Torres pamoja Victor Moses.
Juan Mata akishangilia goli la tatu katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolves

































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.