Wachezaji wa Tottenham Spurs waliokataa tamaa wamefanya mazungumzo na kocha wao Adre Villas -Boas (AVB) wakiwa wanalallamikia mbinu za ufundishaji na mazoezi wanayoyapatiwa na kocha wao AVB.

Kabla ya hapo kulikuwa na kurushiana maneno baina ya kocha huyo na mkurugenzi wa mafunzo wa timu hiyo Tim Sherwood juu ya kile kinachodaiwa cha kuwekwa kando kwa mkurugenzi huyo katika masuala ya klabu.

Wachezaji waliendelea kulalamikia pia kocha wao huyo amekuwa anawafanyisha mazoezi mara mbili kwa kutwa na mara nyingine masaa ishirini na manne 24 kabla ya mechi hali inayowafanya wachoke sana hali inayofanya washindwe  kufanya vizuri katika michezo ya ligi ya msimu huu.

MUTINY ... Villas-Boas has unhappy players at Spurs
Kocha mkuu wa Spurs, Andre Villas-Boas










































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.