Jack Wilshere karudi mazoezini baada ya kuwa nje ya dimba kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa kusubiri tuu kucheza mechi yake ya kwanza toka kurudi kwake baada ya kuwa nje ya dimba kwa takribani  mwaka mmmoja na miezi miwili (Miezi 14).

Jack Wilshrere inasemekana ni mmoja wa wachezaji wenye kipaji kikubwa kwa sasa kulingana na matamshi ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kwa hiyo kama wadau wa kandakanda ni wakati wa kusbiri na kuuona nini kitakachojiri mara ya kurudi na kucheza mechi yake ya kwanza baada ya kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza.

Jack Wilshere
Jack Wilshere akiwa mazoezini na wachezaji wenzake(Picha Thesun)


Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.