Chelsea 2 Juventus 2
![]() |
OSCAR, Mchezaji wa Chelsea akiwa chini akigaragara kwa maumivu |
![]() | |
Bastian Schweinsteiger akishangilia moja ya magoli katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Valencia |
![]() |
Bastian Schweinsteiger |
![]() |
Lionel Messi akifunga goli lake la 9 kati ya 10 katika msimu huu, BArcelona ilishinda 3-2 dhidi ya Spatak Moscow |
![]() |
Darren Flethcer akiwaania mpira mara baada ya kurejea baada ya kuka nje kwa muda mrefu kutokana na maumivu ya tumbo |
![]() |
Oscar akiwa chini baada ya kutendewa madhambi na Leonardo Bonucci |
![]() |
Rafael na Robin van Persie wakimpongeza Michael Carrick baada ya kuwafungia goli la kwanza na la ushindi katika mchezo wa jana dhidi ya Galatasaray |
![]() |
Carrick akiifungia Manchester goli pekee katika mchezo wa jana |
![]() |
Michael Carrick akishangilia mara baada ya kuifunga |
![]() |
Louis Nani akijitahidi kufunga penati pasipo mafanikio |
![]() | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Nani akijitahidi namna ya kumfunga kipa wa Galatasaray Muslera |
Post a Comment