![]() |
| RVP akishangilia mara baada ya kuipatia Manchester United goli la ushindi na likiwa ni goli lake la 5 msimu huu |
![]() |
| Hakunaga Robin Van Persie akishangalia mara baada ya kuifungia Manchester United goli la pili na ushindi dhidi ya mahasimu wao wakubwa Liverpool |
![]() |
| Pepe Reina akijaribu kuokoa mchomo wa Raphael pasipo mafanikio |
![]() |
| Kiungo na nahodha wa Liverpool akishangilia goli lilifungua ukurasa wa magoli ya jana katika ushindi wa Manchester United wa 2-0 dhidi yao |
![]() |
| Shelvey akiondoka uwanjani mara baada ya kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea visivyo Jonnhy Evans aliyelala chini akiwa kwenye maumivu makali |
![]() |
| Steven Gerrad akiifungia Liverpool goli |
Man City 1 Arsenal 1
![]() |
| Laurent Koscielny akishangilia goli la kuzawazisha |
![]() |
| Joleon Lescott akiifungia Manchester City goli la kuongoza |
![]() |
| Wachezaji wa city wakiwa na Joleon Lescottkatika kushangilia goli la kuongoza katika Mchezo wajana ulioshia kwa droo ya 1-1 |
![]() |
| Joe Hart akiokoa moja ya michomo iliyoelekezwa golini mwake jana |
![]() |
| Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Laurent Koscielny |
Southampton 4 Aston Villa 1
![]() |
| Rickie Lambert akishangilia goli lake la pili ambalo limeisadia kuitoa Southampton mkia mwa ligi |
![]() |
| Darren Bent akiipatia Aston Villa goli la kuongoza |
![]() |
| Moja purukushani za mchezo wao na Aston Villa |
Newcastle 1 Norwich 0
![]() |
| Demba Ba arudi kazini hapa akishangilia goli la ushindi wa Newcastle dhidi ya Norwich , Newcatsle ilishinda 1-0 |
![]() |
| Papiss Cisse akijitahidi kufunga pasipo mafanikio |
![]() |
| SAMBA STYLE ... Brazilian Oscar on the ball for Chelsea |
Tottenham 2 QPR 1
![]() |
| Jermain Defoe akishangilia goli la ushindi wa Spurs dhidi ya QPR wa 2-1 |
![]() |
| Bobby Zamora akiifungia QPR goli la ufunguzi |
![]() |
| Alejandro Faurlin akizawazishia Tottenham |






















Post a Comment