April 6, 202501:10:14 AM

Endapo Nguli wawaili Rio Ferdinand na Ryan Giigs wakichezeshwa leio iwe kuanza au kuingia kipindi cha pili watakuwa wamefikisha mechi 400 na Giggs mwenye umri wa miaka 38  itakuwa ndio mechi itakakayomfanya kuvunja rekodi ya Mchezaji aliyechea mechi nyingi zaidi za  Premier ligi ndani ya Manchester United.

Rio Ferdinand alijiunga na Manchester United akitokea timu ya Leeds united mnamo mwaka 2002 na huu utakuwa ni mw.aka wake kumi.

Rio Ferdinand
Rio anayekaribia kufikisha umri wa Miaka 34


Rio Ferdinand
Rio mwanzo wa Miaka 2002 alipojiunga na Manchester United akitokea Leeds United


Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.