Mpaka kufikia muda huu bado hakuna habari zozote zilizotufikia kuhusu maandamano hayo.

Ila kuna kila dalili ya jeshi la Polisi kuwa tayari kuyakabili kulingana chanzo cha habari hizi ambazo hazijaweza kudhibitihswa rasmi na msemaji yeyote wa mamlaka ya jeshi hilo.

kulingana na chanzo cha habari hii kunaonyesha kuna kila dalili ya jeshi la polisi kuwa tayar washajiapnga  kwa hali yoyote ile itakayojitokeza ikiwa maandamano hayo yatafanyika  katika kulinda usalama wa mali na usalama wa raia.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.