Umati wa watu uliofurika
kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma
watu wapatao 400 wameomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria.
Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka
40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada
ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume
na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na
anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
.Mtoto wa Pili
wa Mama Kondrada Ngonyani
Mama Condorada Ngonyani mwenye umri
wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba na mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe
kama Mke na Mume hapo anaonekana akisononeka kwa nini jamii iingilie ndoa
yake
Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya
kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake
mzazi. Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila
desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
Joseph Mapunda ana sema upendo ni
upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini
kwetu ?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara
baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba
yake
Post a Comment