VOLUNTEERS

RafikiElimu Foundation

Date Listed: Sep 7, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 763 976 548
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Sep 20, 2012
Start Date: Nov 01, 2012


Position Description:

VOLUNTEERING OPPORTUNITIES

RafikiElimu  Foundation  ni  ( NGO )  inayo  jihusisha  na maendeleo  ya  jamii.. Kupitia mradi  wake  Elimu  Ya  Ujasiriamali MijiniVijijini  (  EUMIVI  Project ), asasi  inapenda kutangaza   nafasi  kwa   vijana  wa  kitanzania   wanao  penda  kujitolea  "  volunteer "  kama  mawakala wa  mradi   katika  wilaya  wanazo  ishi.

SIFA  ZA MWOMBAJI  NAFASI.
1. Umri  miaka  18  - 40.
2. Elimu kidato cha  sita  na  kuendelea.
3. Awe anaweza  kuwasiliana  kwa  ufasaha  kwa lugha za  kiswahili  na kiingereza.
4. Awe msafi,maridadi  na  mwenye  kujituma.
5. Awe  tayari  kufanya  kazi  na mradi  huu  kama "  volunteer " katika  wilaya anayo ishi .

MAJUKUMU   YA  MWOMBAJI.

Mwombaji atakaye  pata nafasi  ya  kufanya  kazi na  asasi  katika  mradi  huu  atafanya  kazi  kama  wakala  wetu  katika mradi  huu  katika wilaya  anamoishi  naa   atakuwa na jukumu la  kuratibu  shughuli  zote  za  mradi    katika  wilayaa anayo  ishi  kwa  muda wa  miaka miwili  kuanzia  tarehe  01Novemba  2012 hadi  tarehe  01 Novemba  2014.

Tuma  barua  yako  ya  maombi   ukiambatanisha  na  C.V yako  kwenda  kwa:
Mratibu   Wa Mradi,
Mradi  wa  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini,
S.L.P  35967
Dar  Es  salaam.

au   kupitia  barua  pepe:  rafikielimutanzania@gmail.com

Mwisho  wa kupokea   maombi  ni  tarehe  20 Septemba  2012.
N.B:  Katika barua  yako  ya maombi  onyesha  wilaya   unayo taka  kufanyia  kazi. Wilaya  hiyo  lazima n iwe  wilaya  unayo ishi.

Usipige   simu  wala kutuma  meseji  tafadhali.


Application Instructions:
KWA  MAELEZO  ZAIDI,TEMBELEA :
     www.rafikielimu.blogspot.com

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.