
Timu ya Chelsea ya mjini London haitamsahau Ramadal Falcao nyota wa Kicolombia ambaye ameshafunga jumla ya mabao 111 hadi kufikia mchezo wa jana katika misimu yake mitatu barani Ulaya.
Mabingwa wapya wa Supa Cup 2012 Atletico Madrid wakisheherekea Ubingwa wao wakiwa na kombe walilolitwaaa dhidi ya Chelsea Jana Usiku

wachezaji wa Chelsea wakitafakari kipigo

Post a Comment