London, Uingereza

Maofisa wa chama cha mpira cha Uingereza, maarafu kama FA bado wanafikiria kumuongeza adhabu nahodha wa Chelsea John Terry juu ya kesi yake ya ubaguzi wa rangi dhidi ya Anton Ferdinand.
John Terry
Mchezaji aliyefungiwa, John Terry
Habari zimedai ya kwamba wanasubiria kuikataia rufaa hukumu iliyotolewa na kamati huru wiki iliyopita ya kumfungia John Terry mechi nne kutokana na kesi yake ya ubaguzi wa rangi kama vile mchezaji huo anavyosubiri kuikatia rufaa hukumu hiyo.


Habari kutoka ndani ya chama hicho zimeendelea kudai ya kwamba chama hicho kitapinga adhabu hiyo kama walalamikaji kama hatutaridhishwa na maamuzi hayo kwa sababu tuna haki ya kufanya hivyo.

Chanzo hicho kilienedela kusema ya kwamba ni kitu ambacho hutokea kwa nadara sana ila nafasi hiyo iko wazi na kinachosubiriwa kwa sasa na Mchezaji mwenyewe na FA ni hukumu ya kesi hiyo kwa barua na kuhoji kwa nini afungiwe mechi nne na kutozwa faini ya Paundi 220,000 tuu.
















Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.