Mchezaji nyota wa Manchester United, Ashley Young jumamosi hii ilibidi kuchelewa uwanjani katika kumsaidia kijana wa miaka 9 aliyegogwa na gari aina ya Land Rover ambapo gari hilo halikusaimama.
Wakati wachezaji nyota wengine wakimpita kijana huyo, Ashley Young anayetibu majeraha ya mguu kwa sasa alisimama na kuhahakisha mpaka kijana huyo kapatia huduma na ndipo alipoenedelea na safari yake kuelekea uwanjani kushuhudia kipigo cha mabao 3-2 toka kwa Toteham Hospurs.


Mchezaji nyota wa Manchester United, Ashley Young
![]() |
Askari wa Usalama akiwa na baba wa majeruhi na Ashley Young. |
Post a Comment