Arsenal 1 Chelsea 2

Juan Mata's free-kiki ikimpita kipa wa Arsenal, Vito Mannone na katika ishindi wa Chelsea 2-1 dhidi ya Arsenal
![]() |
Fernando Torres (kulia) akishangilia goli lake la na nahodha wa Chelsea , John Terry. |

Fernando Torres akiifungia Chelsea goli la kuongoza
![]() |
. Lukas Podolski na Santi Cazorla wakiashuhudia Gervinho akifunga goli la kuswazisha . |


![]() |
. Nuri Sahin akishangilia mara baada ya kuifungia Liverpool goli la tatu |
![]() |
Louis Suarez akiifungia Liverpool goli la pili |
![]() |
Louis Suarez akishangilia goli lake la tatu, maarufu kama Hat- trick |
![]() |
Grant akifungia Norwich goli la pil ambalo haliikusaidia timu yake kuepuka kipigo cha 5 |
Man Utd 2 Tottenham 3
![]() |
Kocha wa Andre-Villas Boas akishangilia ushindi wa kihistoria watimu uliopata ndani ya uwanja wa Old Trafford juzi. |
Fulham 1 Man City 2
Aston Villa 1 West Brom 1





Post a Comment